Friday, September 19, 2014

Msafara wa Onyango ulivyokaribishwa kwenye Ukumbi wa Riverside


Kwa shangwe na vifijo waalikwa waliomsindikiza Mr. Faustin Onyango kwenye send off ya Aneth Gama (mkewe mtarajiwa) walikaribishwa ndani ya Ukumbi wa Riverside uliopo Ubungo jijini Dar.

No comments: