Thursday, September 18, 2014

Sisty Banzi at 20!




















Jana tarehe 17/09/2014 mwanangu Sisty Banzi ametimiza miaka 20 hongera sana. Picha ya mwisho chini dada yake Maria Banzi akimpongeza kaka yake kutimiza umri huo si haba. Sasa inabidi aanze kukabidhiwa majukumu ya familia.

No comments: