Monday, September 8, 2014

Mchezo wa 'Poll' kijijini

Mimi siupendi kabisa mchezo wa 'Poll Table' unaleta uvivu na vijana wengi wanautumia mchezo huo kucheza kamari. Angalia pichani pamoja na umasiki wa vijijini, poll table imetengenezwa ili mchezo uchezwe. Angalia umaskini uliokithiri lakini tunaendekeza mchezo ambao hauna faida. 'Poll Table' ni mchezo wa matajiri tusiupe nafasi.

No comments: