Friday, September 19, 2014

Usiku wa Aneth Gama

Jana tarehe 18/09/2014. Aneth Gama (mwenye vazi la njano) aliagwa rasmi na ndugu zake kwenye ukumbi wa River Side uliopo Ubungo jijini Dar Es Salaam. Aneth anatajia kufunga ndoa na Bw. Faustin Onyango siku ya tarehe 20/09/2014 kwenye  Parokia ya Mt. Vinsenti wa Paulo-Vikindu, Jimbo Kuu la Dar Es Salaam.

No comments: