Saturday, September 13, 2014

Gari la Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti India

Hili ni gari la serikali ya India. Ni gari la Mkurugenzi wa Utafiti wa Mifumo ya Kilimo. Matumizi ya magari yasiyo ya kifahari katika taasisi za serikali ya India ni kitu cha kawaida kiko kwenye sera ya kubana matumizi.

No comments: