Thursday, February 26, 2009

LIVERPOOL HONGERA!

Mtanzania mimi ni shabiki mkubwa wa SSC. Lakini katika soka la kimataifa ni shabiki mkubwa wa LIVERPOOL ya UINGEREZA. Klabu inayozitoa kamasi vilabu vya Ulaya. Huwa haikati tamaa hata ugenini. Jana imeimaliza REAL MADRID nyumbani kwao 1-0 mbele ya mashabiki wao, katika uwanja wao pamoja na kujaza wachezaji wengi wa kimataifa wenye vipaji. Hongera sana LIVERPOOL.

1 comment:

Belo said...

Pole sana kwa kipigo mlichopata kutoka kwa Chelsea ,mlishaanza kupiga kelele