Wednesday, February 4, 2009

Yanga wajitayarishe kuishinda Al Ahly

Ushindi mnono wa mabao 8 dhidi ya timu dhaifu kutoka visiwa vya Ngazija umesafisha njia kwa Yanga kupambana na miambab ya soka barani Afrika - Al Ahly kutoka Misri. Timu hizi kutoka Misri si ngeni kwa Tanzania ukweli ni kwamba timu zetu hupata shida sana kuzifunga timu hizi. Kwa kuzingatia hali halisi hiyo nawataka Yanga wajitayarishe zaidi.

2 comments:

Belo said...

Mimi ni shabiki wa yanga pamoja na kuwafunga hao vibonde wa Comoro naona na sisi tutapowa kipigo na Waarabu kama tulivyowapa hao vibonge,laiti tungepangwa na timu nyingine tungeweza kufurukuta lakini hao waarabu balaa tupu

Innocent John Banzi said...

Afadhali belo umeliona hili