Thursday, June 2, 2011

Daraja la Mkapa lilojengwa kwenye bonde la mto Rufiji. Urefu wake ni takribani kilometa 1. Ni kivutio tosha. Hongera sana Rais wa awamu ya Tatu kwa uamuzi wa busara.

No comments: