Wednesday, June 1, 2011

Hapo hapo Dakawa, Wachina nao wameanzisha kituo cha kusambaza teknolojia ya kilimo. Kituo hicho kilifunguliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete, tarehe 2 April 2011.

No comments: