Wednesday, June 1, 2011

Lugalo ya kweli

Hii ndiyo Lugalo ya kweli iliyopo mkoani Iringa. Hapa vita kali ilipiganwa kati ya askari wa Kijerumani na Wahehe chini ya uongozi wa Mwana Mtwa Mkwawa.

No comments: