Wednesday, June 1, 2011

Kaburi la Zelwisky

Mnara huu ni kumbukumbu ya mahali alipozikwa Zelwesky jemedari wa Kijerumani katika vita yao na Wahehe ambao walikataa kata kata kutawaliwa na wakoloni.

No comments: