Thursday, June 2, 2011

Karanga aina ya Pendo

Utafiti wa Karanga unaendelea wilayani Nanyumbu kwa ushirikiano kati ya watafiti wa Naliendele na Wakulima. Angalia karanga aina ya Pendo.

No comments: