Wednesday, November 7, 2012

Africana wakutana Kitunda

Mwezi Oktoba 2012- Kikundi cha Africana kilikutana huko Kitunda Jijini Dar nyumbani kwa Gloria. Kikao kilifanyika kwa mafanikio makubwa. Wanachama wameazimia kukamilisha michango yao ya kila mwezi kabla ya mwisho wa mwezi wa Novemba, kutoa fedha za T-shirt za Africana pamoja na kununua hisa za mradi wa SH2

No comments: