Wednesday, November 7, 2012

Unapovikwa pete ya ndoa

Ilikuwa ni shangwe na vigelegle wakati Bibi Moshi alipomvika pete ya ndoa mumewe Moshi mapema mwezi wa kumi ndani ya Kanisa Katoliki la Mt. Visent Wa Paulo, Vikindu, Jimbo Kuu la Dar Es Salaam

No comments: