Tuesday, November 6, 2012

Mahafali ya 8 ya Mount Meru University

Si wengi wanaoifahamu Mount Meru University labda ni kwa wale wanaotoka mikoa ya Kilmanjaro na Arusha. Hivi karibuni Chuo Kikuu hich kimeadhimisha Mahafali ya 8 tangu kuanzishwa. Wasomi wanazidi kuongezeka nchini. Wanatumiaje taalamu zao kwa manufaa yao na ya nchi? Tafakari. (Picha na Livingstone Mwedipando wa ARI-Selian, Arusha)

No comments: