Thursday, November 8, 2012

TRA yakusanya shilingi 754 bilioni

Mwezi Septemba mwaka huu Mamlaka ya Kodi Tanzania (TRA) imevunja rekodi ya kukusanya kodi hadi kufikia shilingi 754 bilioni. Wanaongoza kwa kulipa kodi ni National Microfinance Bank (NMB) wakifuatiwa na Tanzania Breweries Limited (TBL) na Tanzania Cigarette Company Limited (TCC)
Pichani mmoja wa wafanyakazi wa NMB Business Centre (Picha kwa hisani ya DailyNews 8/11/2012)

No comments: