Thursday, November 8, 2012

Obama umeliletea heshima Bara la Afrika

Kwa kuchaguliwa tena kwa mara ya pili kuwa Rais wa Marekani, Barack Obama ameliletea heshima Bara la Afrika. HONGERA!
Pichani Rais Barack Obama akiwa na familia yake kutoka kushoto mkewe Michelle, Sasha na Malia (Bintize)- Picha kwa hisani ya gazeti la Daily News

No comments: