Friday, November 9, 2012

Nani atamsaidia huyu?

Anataka kufikisha kwa mlaji lakini pia anakwepa gharama kubwa ya usafirishaji kwa kutumia vyombo vya moto ndiyo maana anasafirsha kwa kutumia baiskeli. Angalia jinsi tenga moja la nyanya linavyotaka kudondoka! Wahandisi mko wapi kumsaidia huyu jamaa? (Picha kwa hisani ya gazeti la Dailynews)

No comments: