Friday, November 9, 2012

Arusha wanavyotunza mazingira

Hii ni moja ya barabara za jiji la Arusha inayokwenda kwenye kitongoji kijulikanacho kwa jina la Moshono. Wito wa kupanda miti katika mlima huu umeitikiwa kwa nguvu zote na miti hiyo hutunzwa kwa sheria ndogondogo walizojiwekea wananchi wenyewe.

No comments: