Friday, November 9, 2012

Mh. John Malecela 1977

Wakati huo Mzee John Malecela alikwa Waziri wa Kilimo. Na hapa anapokea cheki ya shilingi 1,000/= kutoka kwa Mkuu Gereza la Lilungu Mkoani Mtwara ikiwa kama mchango wa gereza kwa CCM!(Picha kwa hizani ya Gazeti la DailNews 8/11/2012)

2 comments:

Mihenga said...


Hii inaonyesha nijinsi gani pesa yetu ilikuwa na thamani kwa kipindi hicho!


Innocent John Banzi said...

Hii Mihenga asante sana kwa kutoa mchango mkubwa kwenye blog hii. Ukiwa na chochote cha uhakika nitumie nami nitakirusha kwenye Banzi wa Moro.