Wednesday, November 7, 2012

Kanisa limefurika

Siku ya ibada ya ndoa takatifu ya Bw na Bibi Moshi kanisa la Mt. Visent wa Paulo lilifurika watu waliokuja kushuhudia ndoa hii. Bw. Moshi alishawahi kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Walei Parokia ya Vikindu.

No comments: