Friday, November 9, 2012

Watafiti wa Kilimo hakuna kulala

Watafiti wa sekta ya kilimo kwa kupitia programu na miradi mbalimbali wanajitahidi kuhakikisha kuwa nchi inazalisha chakula kingi na chenye ubora wa hali ya juu na pia kuwaongezea kipato wakulima na kuboresha maisha yao.Mradi wa SIMLESA unaotekelezwa katika wilaya za Mbulu, Karatu, Mvomero, Kilosa na Gairo ni moja kati ya miradi inayolenga huko. Pichani Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo Bi. Ruth Kamala akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo.Picha na Livingstone Mwedipando wa ARI-Selian, Arusha)

No comments: