Tuesday, November 6, 2012

Brass Band ilikuwepo

Wakati wa uzinduzi wa wa Jiji la Arusha Brass Band ilitoa burudani kwa wale waliohudhuria uzinduzi huo. Brass Band inanikumbusha mbali. Nilipokuwa nikisoma shule ya Msingi Matombo, nilipiga filimbi, ngoma kubwa, ndogo na hata kuongoza Band (Band Master). Lo! kweli tumetoka mbali. Band ya shule ilinifanya niupende shule. Tulipiga nyimbo nyingi za kuipenda nchi yetu na kujenga uzalendo.(Picha na Livingstone Mwedipando-ARI-Selian, Arusha)

No comments: