Wednesday, November 7, 2012

Iko siku na wao watafunga ndoa

Leo watoto hawa wanaonekana kama watatoto wasimamizi. Lakini siku moja panapo na majaliwa na wao watafunga ndoa. Hawa walisimamia ndoa ya Bw. Moshi huko Vikindu katika kanisa la Mt. Visent wa Paulo.

No comments: