Tuesday, November 13, 2012

Pete ya uchumba

Bw. Macarios Banzi akimvisha pete ya uchumba Bi Martina Jeremias katika hafla fupi na ya kufana iliyofanyika nyumbani kwa Bi Martina - Gongo la Mboto mwisho wa lami tarehe 11/11/2012.HONGERA SANA DOGO!

No comments: