Wednesday, November 7, 2012

Kwaya ya Mt. Visent wa Paulo

Kwaya ya Mt. Visent wa Paulo, Parokia ya Vikindu ndiyo 'chiriku' wa Parokia. Kwa sasa wanajiandaa kutoa mkanda wao wa kwanza wa Video utakaojulikana kwa jina la 'Yanibidi nikishe'

No comments: