Tuesday, November 6, 2012

Dr. Deogratius Nshoro Lwezaura

Tarehe 27 Oktoba Dr. Deogratius Lwezaura ameingia rasmi kwenye orodha ya wanataaluma wazamivu katika fani ya Uchumi Kilimo. Dr. Lwezaura ni Mwajiriwa katika Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Idara ya Utafiti na Maendeleo, Makao Makuu Dar Es Salaam.Banzi wa Moro anakupongeza kwa jitahada zako binafsi hadi kufikia lengo ulilokusudia. HONGERA SANA.
Kutoka Kushoto Mrs Lwezaura, Dr. Lwezaura, Mr Rwechungura na Mrs Rwechungura kwenye tafrija ya kumpongeza Dr. Lwezaura iliyofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Utalii, Tandika, Dar Es Salaam.
Familia ilikuwepo kumpongeza. Wakwanza kulia ni mtoto wa Dr.Lwezaura.
Mshehereshaji(MC)Bw. Mathew Kilabuko akiwa amekishikilia kinywaji anachokipenda - Serengeti katika hekaheka za kumpongeza Dr. lwezaura
Hawa ni waandaji wa ghafla.
Walijimwaga kwa raha zao!

No comments: