Tuesday, November 6, 2012

Wameweka historia ya uzinduzi wa Jiji la Arusha

Wanafunzi hawa wamesheshiriki kikamilifu katika uzinduzi wa jiji la Arusha. Wamejijengea historia yao. Iko siku watakumbuka na watakumbukwa kuwa walikuwepo katika uzinduzi wa Jiji la Arusha. (Picha na Livingstone Mwedipando- ARI-Selian, Arusha)

No comments: