Wednesday, April 3, 2013

Azam Ferries

Hapa ndipo ofisi za Azam Ferries zilipo jijini Dar. Ukitaka kwenda Zanziba na Unguja hapa ndipo pakuondokea. Pamoja na kuwa na timu ya Soka ya Azam, Mohamed Bakhresa anamiliki boats za kusafiria zenye ubora wa hali ya juu kama vile MV.Kilimanjaro.

No comments: