Wednesday, April 3, 2013

Nimerudi

Majukumu ya kazi,kuumia kidole na matatizo ya mtandao yamenifanya kuwa kimya kuanzia mwezi February tarehe 14 hadi leo. Wapenzi wa Banzi wa Moro najua mmesumbuka sana na kujiuliza kilichotokea. Hayo niliyoyataja ni sababu kuu ya kutoning'iniza. Kuna watu walioniuliza vipi Banzi. Poleni sana. Sasa nimerudi.Pichani jiji la Dar na tatizo sugu la traffic jam.

No comments: