Monday, April 8, 2013

Bodaboda za Usa River

Sehemu nyingi hapa nchini kwa sasa usafiri wa pikipiki ndiyo jibu. Hasa kwa sehemu zile ambazo zilikuwa hazifikiki kwa urahisi kwa gari. Bodaboda imerahisisha usafiri. Hapa ni Usa River bodaboda zinasubiri wateja.

No comments: