Wednesday, April 3, 2013

Chuo cha Mabaharia

Watzanzania wengi hawafahamu kilipo chuo cha mabaharia. Vijana wengi hupenda kuwa mabaharia, je wanakifahamu chuo hiki? Ni chuo na zamani lakini kimesomesha mabaharia wengi, kipo kando ya bahari ya Hindi jijini Dar Es Salaam barabara ya Sokoine.

No comments: