Thursday, April 11, 2013

Rais Kikwete na watoto

wanafunzi hawa wa Shule ya msingi walimwimbia Rais Kikwete wimbo wa Biotechnology wakati alipozindua maabara ya uhandisi jeni kituoni Mikocheni tarehe 19/3/2013.

No comments: