Monday, April 8, 2013

Cheti cha Ushindi HORTI-Tengeru

HORTI-Tengeru ni moja ya vituo vya utafiti wa Kilimo vilivyoko kanda ya Kaskazini. Jukumu la kituo hiki ni kutafiti mazao ya mbogamboga na matunda. Pichani ni moja ya vyeti ambacho kituo kimetunukiwa katika kuthamini mchango wa kituo katika medani ya utafiti.

No comments: