Wednesday, April 3, 2013

Kempsiki 'perhaps'

Wakati mwingine tunapata shida ya kupata mahali pakujipatia makulaji. Wengi tunafikiri kuwa sehemu nzuri za kupata msosi ni hotelini. Hapa Dar sehemu za kupata chakula ni nyingi zinazojulikana kama mama lishe. Hapa ni 'Kempsiki' ya Temeke Veternary unaweza kunipata hapa muda wa 'lunch'.

No comments: