Saturday, April 6, 2013

Fotoa ufotolewe

Dr. Janet Kaaya Mkuu wa Kitengo cha 'Information and Documentation' Idara ya Utafiti na Maendeleo, Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika akiwa kazini. Hakufahamu kuwa kulikuwa na wengine waliomlenga. Kweli ''fotoa ufotolewe!

No comments: