Wednesday, April 3, 2013

Upanuzi wa Bandari ya Dar Es Salaam

Bandari ya Dar Es Salaam inaendelea kuboreshwa minudo mbinu yake.Kazi hiyo inafanyika usiku na mchana. Banzi wa Moro aliweza kushuhudia jengo moja likisukwa nondo.

No comments: