Wednesday, April 3, 2013

Vikindu Dispensary

Zahanati hii inamilikiwa na masista wa Shirika la Mt. Vincent wa Paulo-Parokia ya Vikindu, Jimbo Kuu la Dar Es Salaam, kilomita takribani 35 kutoka katikati ya Jiji la Dar Es Salaam kuelekea wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani.Zahanati hii hutoa huduma za 'maternity' watoto, ushauri nasaha kwa waathirika wa HIV pamoja na huduma nyingine za Afya. Huduma zake ni bora sana hupokea pia bima ya NHIF.

No comments: