Thursday, April 11, 2013

Dr. Msolla uso kwa uso na Kikwete

Ghafla Rais Kikwete alikutana na Dr. Mshindo Msolla, Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji wa Mazao katika Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika. Dr. Msolla amewahi kuifundisha Taifa Stars kwa vipindi tofauti.

No comments: