Wednesday, December 17, 2008

Dr. Doreen kumbukumbu na Marais


Hii ndiyo picha ya kumbukumbu ya siku ya kutunukiwa shahada ya uzamivu (PhD) Dr.Doreen Mloka Moshi.Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Muhimbili (MUCHS) Rais Mstaafu Mhe. Ali Hassan Mwinyi (Mzee Ruksa) ndiye aliyetunuku shahada hizo tarehe 13/12/2008. Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete. Hongera sana Da Doreen.

1 comment:

lukwangule said...

kazi kubwa kuwa daktarik just mpe salamu zangu ne ndamka