Wednesday, December 11, 2013

Adha ya usafiri Kusini

Kipande hiki cha barabara ya kusini iendayo mikoa ya Lindi na Mtwara bado kero. Angalia watoto wanavyopata taabu licha ya kuulamba! (Picha kwa hisani ya Dr. Kasuga wa ARI-Naliendele, Mtwara)

No comments: