Tuesday, December 17, 2013

Jinsi tunavyowatumia punda

Moja ya faida tuipatayo kutokana na mifugo ni pale tunapowatumia kwa ajili ya kuturahisishia usafiri. Pichani punda wakitumika kusafirisha majani ya malisho. (Picha kwa hisani ya Dr. Kasuga- ARI-Naliendele, Mtwara)

No comments: