Thursday, December 12, 2013

Korosho zetu maoneshoni Geneva

Korosho kutoka Tanzania zikiwa maoneshoni, Uswis-Geneva. Angalia jinsi walaji walivyokomba zote za kuonja kwenye sahani. (Picha kwa hisani ya Dr. Kasuga wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo Naliendele, Mtwara)

No comments: