Tuesday, December 3, 2013

Mazungumzo ya nini tena hapo?

Kama dereva amekosa kisheria si apewe adhabu tu. Unachelewesha abiria na hapo ni dhahiri mtumishi huyui wa asilimia anazungumzia masuala ya rushwa wako kwenye 'negotiation'

No comments: