Tuesday, December 3, 2013

Hofu inapotanda Dar

Mwaka jana  (2012) jijini Dar kulizuka hofu ya mawimbi makubwa kutokea bahari ya Hindi. Wafanyakazi wote walishikwa na hofu na kuanza kurudi majumbani kwao hivyo kuzuka msongamano mkubwa magari jijini. Hapa ni mzunguko wa Askari Monument (Bismini)

No comments: