Wednesday, December 11, 2013

Nanasi aina ya mpingo

Ukiliona ni kubwa na halionyeshi rangi ya kuiva. Onja uone utamu wake na maji yaliyo mengi. Hilo ni nanasi aina ya mpingo. Mkoa wa  Pwani ni maarufu kwa kilimo cha mananasi. Hapa Baba Herieth wa Kisemvule akimuonyesha jirani yake Marara  mananasi aina ya mpingo aliyopanda kando ya nyumba yake huku mlinzi  (mbwa) akichungulia kwa makini.

No comments: