Tuesday, December 10, 2013

Martha akichunga mbuzi wake

Mama Martha wa kijiji cha Kwediswati  wilaya wakiwaswaga mbuzi wake kwenda zizini. Wanawake wana uwezo wa kufuga mbuzi na kuwaongezea kipato na kuboresha lishe ya familia

No comments: