Wednesday, December 4, 2013

Familia ya Baba Herieth

Hii ndiyo familia ya Baba na Mama Herieth  rafiki  na majirani zangu wa Kisemvule. Herieth mwenyewe amevaa gauni rangi ya pinki. Aliyenyanyua mikono ni God.

No comments: