Tuesday, December 17, 2013

Nguvu ya 'Guta'

Hii ni baiskeli ya magurudumu matatu maarufu kwa jina la 'guta.' Sawa kijana anatafuta 'chavichavi'- yaani fedha lakini usalama je? Guta imebeba zaidi ya  'madumu' 100! Kijana huyu alionekana na mpiga picha wa DailyNews kwenye barabara ya Nyerere akiwa kero ya watumiaji wa barabara na kuhatarisha usalama wake na waliokuwepo barabarani pia.(Picha kwa hisani ya gazeti la Daily News 17/12/2013)

No comments: