Wednesday, December 11, 2013

Marafiki wa rika zote

Baba Herieth kulia na Mzee Kombo wa kijiji cha Kisemvule ni marafiki wa siku nyingi. Mzee Kombo pia mtaalamu wa kuchoma korosho mimi huwa nanunua korosho kutoka kwake wakati wa msimu wa korosho.

No comments: